Sign Industries Ltd
Sign Industries Ltd
About us

Fursa

Fursa inaweza kuwepo kwa wale wanaopenda kutuuzia bidhaa zao na wale ambao wangependa kufanya kazi nasi.

Sign Industries Ltd. inatumia tu vifaa bora kutoka kwa wauzaji bora na inapendelea kushughulika moja kwa moja na wazalishaji ili kudumisha uthabiti wa ubora na kazi zake.

Kwa upande wa Fursa za AJIRA, Sign Industries Ltd ni mwajiri anayejali fursa sawa na inafanya kazi katika mazingira ya ki-timu zaidi kama familia iliyo na dhamira ya pamoja ya kufanikiwa. Waombaji wenye sifa wanashauriwa kujaza fomu yetu ya maombi ya kazi mtandaoni na kuiwasilisha, ikiwezekana na picha ya hivi karibuni iambatanishe kama ipo.

Tufanye kazi pamoja kwa kesho iliyo bora kwetu sote.

New Job listing